Jumamosi 27 Juni 2026 - 11:40
Waumini wa Tanga Wamiminika Barabarani Siku ya Ashura; Imam Hussein (as) Aenziwa kwa Kishindo

Hawza/ Katika kuadhimisha Siku ya Ashura 1448 H/2026, waumini wa dhehebu la Shia mkoani Tanga wamefanya Matembezi ya Amani yaliyoakisi mshikamano wao katika kuenzi kumbukumbu ya shahada ya Imam Hussein (as), mjukuu wa Mtume Muhammad (saww), na mashahidi wa Karbala.

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Hawza, Matembezi hayo yalipita katika maeneo mbalimbali ya mji huo kwa utulivu na nidhamu, huku washiriki wakitoa salamu za maombolezo na kubeba mabango yaliyosisitiza umuhimu wa haki, uadilifu, amani na kupinga aina zote za dhuluma. Tukio hilo pia lilivutia hisia za wananchi waliokuwa wakifuatilia msafara huo.

Waumini wa Tanga Wamiminika Barabarani Siku ya Ashura; Imam Hussein (as) Aenziwa kwa Kishindo Waumini wa Tanga Wamiminika Barabarani Siku ya Ashura; Imam Hussein (as) Aenziwa kwa Kishindo Waumini wa Tanga Wamiminika Barabarani Siku ya Ashura; Imam Hussein (as) Aenziwa kwa Kishindo Waumini wa Tanga Wamiminika Barabarani Siku ya Ashura; Imam Hussein (as) Aenziwa kwa Kishindo

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha